Sajili is a Zetech University students online application portal for courses and programs for both self and government sponsored programs, KUCCPS
Sajili ya Bungeni Hii ni lugha inayozungumzwa wakati wa kikao cha bunge. Sajili hii ni tofauti na na sajili ya siasa, ambayo huhusisha wanasiasa wakipiga kampeni. Sifa za Lugha ya Bungeni Ni lugha yenye ushawishi – wabunge hutumia vishawishi ili kuwahimiza wenzao waunge ama kupinga msalaba Ni lugha ya mjadala yenye waungao na wapingao. Ni lugha yenye heshima na nidhamu. Maneno ya heshima ...
Sajili Katika Isimu Jamii Sajili - ni mukhtadha/rejista mbalimbali au mitindo maalum ya lugha katika mazingira/hali mbalimbali. Kuna sajili anuwai za matumizi ya lugha katika jamii. Hapa tutazingatia mifano michache ya sajili mbali mbali.Kila sajili huwa na sifa mbalimbali zinazoitofautisha sajili hiyo na nyinginezo.
Sajili Katika Isimu Jamii - Isimu Jamii Notes Utangulizi Sajili ya Ajali Sifa za Lugha Inayopatikana Katika Sajili Hii Mfano wa Sajili ya Ajali Sajili ya...
Hs Sajili Katika Isimu Jamii: Mifano na Sifa za Sajili - 658
Katika sajili ya kidini tunaangazia lugha inayozungumzwa na waumini/washiriki wa imani fulani wakati wa ibada, sala, katika nyumba takatifu au mahali popote pale ambapo wanazungumzia mambo yanayorejelea imani au
Hssajili Katika Isimu Jamii - Isimu Jamii Notes-658 | PDF - Scribd
Mfumo wa Uanzishaji na Usajili wa Shule Sajili shule yako kwa urahisi na ufanisi zaidi. Mfumo wetu wa kisasa unakuwezesha kusimamia maombi yako yote mahali pamoja.
Sajili ni matumizi ya lugha katika mazingira na viwango maalum. Baadhi ya viwango hivi ni kama vile dini, sheria, biashara, michezo na magazeti. Sajili pia hujulikana kama rejesta.