Julai saba kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya Kiswahili katika kutambua mchango wa lugha hiyo adhim katika kukuza utofauti wa kitamaduni, kujenga ufahamu na kukuza mjadala miongoni mwa jamii.
Radio France Internationale: Umuhimu wa kutunza lugha mama katika jamii za Afrika
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tukiangaza safari ya miaka 25 ya UNESCO kuenzi lugha mama na nafasi ya lugha mama katika kukuza maendeleo ya jamii Mwandalizi na msimulizi wako naitwa ...
Ndani kabisa ya msitu wa Shekka, kusini-magharibi mwa Ethiopia, lugha ya kale ya Kiafrika inakabiliwa na hatari ya kutoweka. Inajulikana kama Chabu, inazungumzwa na watu wa Chabu, jamii iliyoenea ...
Ni wakati wa majira ya kipupwe asubuhi katika shule ya chekechea ya mafunzo ya Lugha ya Kihispania mjini London. Wazazi wanawasaidia watoto wao wadogo kuvaa kofia ngumu ili kuwakinga na ajali za ...
Upendeleo wa kijinsia wa teknolojia ya Akili Mnemba AI katika tafsiri za Kiswahili umekuwa ukishuhudiwa kwa mudasasa na unaweza bila shaka kuathiri jamii yetu. Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) imekuwa ...
Katika makala haya tunajikita kuangazia mchango wa mashariki yasiokuwa ya kiserikali kwenye jamii zetu. Tunaliangazia shirika la Corps Africa ambalo kwa ushirikiano jamii mbali mbali nchini Kenya ...
Afrika Kusini ni taifa lenye historia tata na yenye rangi nyingi za kitamaduni. Hili ndilo taifa pekee duniani ambalo katiba yake inazitambua rasmi lugha 11 kama lugha rasmi za taifa. Profesa Thandiwe ...
Leo hii, tunasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani, siku maalum ya kutambua na kuenzi thamani ya lugha ya Kiswahili kama chombo muhimu cha mawasiliano, utambulisho wa tamaduni, na daraja la maelewano ...
Radio France Internationale: Mjadala juu ya mustakabali wa Kifaransa nchini Mali, nchi yenye lugha 70