Tamthilia za kiswahili matukio yote kwenye tamthilia za kiswahili tutakusogezea mfano #Kulfi, #Ahadi #Turufu #huba #Tunu #pazia #juakali na zingine nyingi Bo...
Tamthilia (pia: Tamthiliya au Tamthilia-Mchezo, kutoka neno la Kiarabu تمثیل ) ni moja kati ya sehemu za utunzi wa hadithi au fasihi simulizi (ngano au hadithi) ambayo mara nyingi tunaona katika kumbi za maonyesho au kupitia televisheni, au tunasikia kupitia redio.
TAMTHILIA DHANA NA MAANA YA TAMTHILIA Tamthilia ni neno la Kiarabu lenye maana ya kumithilisha au kufananisha. Katika Kiswahili, tamthilia linatumika kwa maana ya michezo ya kuigiza. Katika tamthilia huwa kuna ufananishaji ambapo mwigizaji hujifananisha na mhusika wa mchezo wakati wa kuigiza. Kulingana na kamusi ya Kiswahili sanifu, tamthilia ni utungo wa kisanaa ambao huweka wazo fulani ...
MWONGOZO WA BEMBEA YA MAISHA UTANGULIZI VIGEZO MUHIMU KATIKA UCHAMBUZI WA TAMTHILIA HII Dhamira/ Lengo/ Mintarafu/ Kusudi: Nijambo linalokusudiwa na mwandishi/ lengo kuu la Maudhui:…
Tamthilia pamoja na kuwa kama zilivyo, kazi nyingine za kisanaa, tamthilia ina nafasi yake katika usomi, pia ina nafasi yake ya kipekee. Tamthilia licha ya fikra zinazoendekezwa ndani yake, huwa inategemea hisia, moyo na ishara.
Check 'tamthilia' translations into English. Look through examples of tamthilia translation in sentences, listen to pronunciation and learn grammar.
Tamthilia Tamthilia au tamthiliya ni sanaa ambayo huwasilisha mchezo wa kuigiza kwa njia ya maandishi. Majina ya wahusika huandikwa katika upande wa kushoto, kisha koloni, halafu hufuatiwa na maneno halisi yaliyotamkwa na mhusika huyo. Aina za Tamthilia Kunazo aina kadhaa za tamthilia katika fasihi andishi: Tamthilia Cheshi/Komedia - ni mchezo wa kuchekesha. Maudhui yake huundwa kwa lengo la ...
TAMTHILA YA KISWAHILI MODULI YA KWANZA TAMTHILIA YA KISWAHILI MODULI YA PILI TAMTHILIA YA KISWAHILI MODULI YA TATU