Nyimbo Za Pasaka Katoliki

Hapa tutatiririka na nyimbo kali na albums kali za kwaya kutoka R.C Unazo ona zimetikisa kweli iwe katika jimbo au mkoa wako au Tanzania nzima. Mimi bwana nitaanza na hawa kwaya ya mtakatifu Cesilia toka jimbo katoliki la Arusha na Album yao iliyotikisa iitwayo "MSHIPI" Hii Album ilisheheni...

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametoa wito wa kuhimiza amani katika ujumbe wake wa Pasaka kwenye uwanja wa Kanisa la Mtakatifu Petro mjini Rome. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani ...

Nyimbo Za Pasaka Katoliki 2

Kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki Papa Francis ashindwa kuongoza ibada muhimu ya Jumapili ya pasaka. Waumini wa Kanisa Katoliki duniani wamekusanyika leo Jumapili katika uwanja wa St Peter katika ibada ...

Nyota maarufu wa nyimbo za Classic Andrea Bocelli amefanya tamasha wakati huu wa pasaka huko Milan na kuimba peke yake katika kanisa maarufu la mji huo. Tamasha hio kwa jina Music for Hope, ...

Nyimbo Za Pasaka Katoliki 4

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo Jumapili ameongoza misa ya Pasaka katika uwanja wa Kanisa la Mtakatifu Petro mjini Rome ambako maelfu ya Wakatoliki walikusanyika katika ibada hiyo ...

Nyimbo Za Pasaka Katoliki 5

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amempokea Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance siku ya Jumapili, Aprili 20, kando ya sherehe za Pasaka, Vatican ilmetangaza, miezi miwili baada ya ...

Waumini wa Kanisa Katoliki duniani wamekusanyika leo Jumapili katika uwanja wa St Peter katika ibada ya sikukuu ya pasaka bila ya Papa Francis, kiongozi mkuu wa kanisa katoliki. Papa Francis mwenye ...

Wasukuma ni watu wanaopenda sana utamaduni wao hasa katika suala la nyimbo. Ni kabila pekee hapa nchini Tanzania lenye waimbaji wengi pengine idadi yao ni kubwa hata kulingana na waimbaji wa bongofleva. Kama unabisha, nenda youtube andika nyimbo za kisukuma, utaona waimbaji wasio na idadi...