Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia . Matokeo hayo yametangazwa leo Jumamosi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Profesa Said Mohammed.
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi . Matokeo hayo yametolewa rasmi leo, Alhamisi, , na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohammed. Wanafunzi pamoja na wazazi...
Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne ...
Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta. Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa. Soma Pia Matokeo mengine...
Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023 ...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu Januari 8, Katibu Mtendaji wa Necta...