Mamlaka ya mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania imeunda kamati nne kwa ajili ya kupambana na biashara za ngono na mapenzi ya jinsia moja, ili kukabiliana na uvunjwaji wa maadili na sheria nchini humo ...
(Nairobi) – Kukana kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania kuhusu matamko ya chuki dhidi ya mapenzi ya jinsia moja yaliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ni hatua nzuri, lakini haitakuwa na ...
Katika mfululizo wa barua zetu kutoka kwa waandishi wa habari wa Kiafrika, mwandishi wa Kitanzania Sammy Awami anaangazia ni nini kilicho nyuma ya hatua za hivi karibuni dhidi ya mapenzi ya jinsia ...
Radio France Internationale: Tanzania: Wanaume 12 wakamatwa kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Polisi nchini Tanzania inawashikilia wanaume 12 wakiwemo raia wawili wa Afrika Kusini na mmoja wa Uganda kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja katika operesheni inayoendelea dhidi ya ...
Radio France Internationale: Wanasheria wanawake nchini Tanzania watakiwa kupambana na rushwa ya ngono ili kusaidia wanawake
Wanasheria wanawake nchini Tanzania watakiwa kupambana na rushwa ya ngono ili kusaidia wanawake
Human Rights Watch: Tanzania: Jumbe Zinazokinzana juu ya Kuteswa kwa Walio Wachache Kijinsia
BBC: Je tabia ya kushindwa kudhibiti hisia zako za kufanya ngono ni ugonjwa gani?
Kwa miaka mingi tumesikia maneno kama "nymphomania" yaani "Uraibu wa kufanya ngono" au "kujamiiana", miongoni mwa maneno mengine ambayo huzungumzia kuhusu wale watu ambao wana matatizo ya kuwa na ...
Je tabia ya kushindwa kudhibiti hisia zako za kufanya ngono ni ugonjwa gani?