Shirika la Umoja wa Mataifa linalojihusisha na masuala ya wanawake UN Women limesema wanawake na watoto ndio waathirika wakubwa katika vita vinavyoendelea Ukanda wa Gaza. Shirika hilo limeeleza kuwa, ...
BBC: Watoto wetu walichukuliwa baada ya mtihani kuhusu malezi - sasa tunapambana kuwarejesha
Binti wa Keira alipozaliwa Novemba mwaka jana, alipewa saa mbili za kuwa naye kabla mtoto huyo hajachukuliwa kupelekwa chumba cha kuweka watoto wachanga na kisha kuchukuliwa na huduma za kijamii.
Watoto wetu walichukuliwa baada ya mtihani kuhusu malezi - sasa tunapambana kuwarejesha