Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29 zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania.

DODOMA: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha shilingi trilioni 2.53 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati 2026/2027. Kati ya fedha hizo, shilingi trilioni 2.46 sawa na asilimia ...

Kila baada ya miaka mitano, macho ya Watanzania na hata ya mataifa jirani huishia Zanzibar. Ingawa ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uchaguzi wa Zanzibar hujitofautisha kwa njia nyingi za ...

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania 3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mhe Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Madelu kuwa Waziri Mkuu mteule wa Jamhuri ya Muungano wa ...

Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu ndiye Spika mpya wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimwanasiasa mkongwe na kiongozi mwenye uzoefu mkubwa katika siasa na utumishi wa umma. Mnamo Novemba ...

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania 5

Samia Suluhu Hassan ameapishwa muda mfupi uliopita huko Dodoma, kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi waOktoba 29 uliokumbwa na vurugu. Rais Samia ...

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania 6

Tume ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania imebainisha kuwa watu 518 waliuwawa katika vurugu zilizotokea kipindi hicho.

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania 7

BBC: Uchaguzi Tanzania 2025: Mambo matatu yanayoutofautisha uchaguzi wa Zanzibar na Tanzania

Radio France Internationale: Tanzania: Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Madelu aidhinishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu

Tanzania: Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Madelu aidhinishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu