Heslb Selected Students

NI VYETI GANI VINAKUBALIKA (BIRTH/DEATH CERTIFICATES) KATIKA KUOMBA MKOPO HESLB 2025? Conditions Nne kwa Cheti cha Kuzaliwa;- - Sehemu ya Entry Numbers iwe na Tarakimu tupu bila alama yoyote ile. - Sehemu ya Child's Name iwe na Majina Matatu kwa kirefu, na sio Jina Moja au Majina Mawili. -...

Heslb Selected Students 1

Mfumo wa Bodi ya Mikopo HESLB, ni zaidi ya wiki sasa tunapata shida katika kutuma maombi, nawapigia simu zao hawapokei, tupewe hata maelekezo tujue nini kinaendelea, ni kero kubwa aise.

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, ) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu. Kampeni hiyo, inayofahamika kama Fichua imezinduliwa jijini...

Heslb Selected Students 3

Wakuu kwema? Ninamwombea mdogo wangu mkopo wa HESLB. Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye amefanikiwa katika kipengele cha Preliminary Information kujaza RITA VERIFICATION NUMBER ya DEATH. RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH) tayari zimeshapatikana, lakini kwenye mfumo wa HESLB zinakataa/zinagoma na...

Bodi ya mikopo (HESLB) imeunganisha mifumo ya kimkakati Kwa ajili ya kuwafikia wanufaika wenye kipato lakini hawajaanza kurudisha mikopo hiyo. Heslb imeingia makubaliano ya ushirikiano na wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), NIDA na taasisi za kibenki lenye lengo la kuwatambua...

Heslb Selected Students 5

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ni taasisi ya umma iliyoanzishwa kwa mujibu wa Sheria Na. 9 ya mwaka 2004 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2007, 2014 na 2016) kwa lengo la kusaidia wanafunzi wa Kitanzania wenye uhitaji na sifa kupata mikopo na ruzuku kwa ajili ya elimu ya juu. HESLB inawajibika kusaidia kwa mfumo wa mkopo wanafunzi wenye uhitaji waliopata udahili katika taasisi ...